1. 1

    Bonga - Mona Ki Ngi Xica

  2. 2

    Bonga - Comeram A Fruta

  3. 3

    Bonga - Kaxexe

  4. 4

    Bonga - Mulemba Xangola (part. Lura)

  5. 5

    Bonga - Mariquinha

  6. 6

    Bonga - Moname

  7. 7

    Bonga - Zé Kitumba

  8. 8

    Bonga - Diakandumba

  9. 9

    Bonga - Balumukeno

  10. 10

    Bonga - Kianje

  11. 11

    Bonga - Odji Maguado

  12. 12

    Bonga - Dona Ana (remix) (feat. Lucibela)

  13. 13

    Bonga - Kiamangongo

  14. 14

    Bonga - Ti Zuela

  15. 15

    Bonga - A Kua Muceque

  16. 16

    Bonga - Aga (part. Kusah)

  17. 17

    Bonga - Kambonhorinho

  18. 18

    Bonga - Kapakiao

  19. 19

    Bonga - Kilumba Dia Ngola

  20. 20

    Bonga - Kutonoka

  21. 21

    Bonga - Marimbondo

  22. 22

    Bonga - Mindjeris De Pano Preto

  23. 23

    Bonga - Mudiakime

  24. 24

    Bonga - Nucos Da Buala

  25. 25

    Bonga - Poeira

  26. 26

    Bonga - Samania

  27. 27

    Bonga - Tetete (part. Lomodo)

  28. 28

    Bonga - Turmas Do Bairro

  29. 29

    Bonga - Vira Moda

Tetete (part. Lomodo)

Bonga

Jigambe Carolina eeh
Uno kama umetoka Congo
Simwagi namimina eeh
Eeh, jipinde kama unaruka gongo

Eeeh eeh, una makekeke
Nikutulize na rungo la kipepepe (aah eeh)
Mambo ni bie bie bie
Kwenye kochi na kitandani nikuchekeche (aah eeh)

Ongeza miguno
Baby can shake your buloo
Maa ongeza miguno
Yeah yeah, yeah yeah

Ongeza miguno
Baby I can shake your buloo
Maa ongeza miguno
Yeah yeah, oooh yeah

Oooh whine your waist
Baby girl whine your waist
Oooh whine your waist
Yeah yeah, oooh yeah

Asa tetete
Baby tetete
Asa tetete
(Tembea kama una nyodo)
(Jivute kama umefungwa gogo)
Baby tetete
(Tembea kama una nyodo)
(Jivute kama umefungwa gogo)

Yaani tetete, ni ka baby face na
Kitandani ni kepesi
Yaani tetete, nikapige jeki
Maana ni kafundi ka karedio
Nimelewa ni tilalila (ooh tilalila)
Yeah kashafunga tatu mi bado bila (ooh tatu bila)

Ongeza miguno
Baby I can shake your buloo
Maa ongeza miguno
Yeah yeah, oooh yeah

Oooh whine your waist
Baby girl whine your waist
Oooh whine your waist
Yeah yeah, oooh yeah

Asa tetete
Baby tetete
Asa tetete
(Tembea kama una nyodo)
(Jivute kama umefungwa gogo)
Baby tetete
(Tembea kama una nyodo)
(Jivute kama umefungwa gogo)

Wamewaka kwa usharo wa Insta (Kainama)
Insta kavamia sista (Kainama)
Nasema tabasamu kakunja ndita (Kainama)
Nitembeze nitembeza (Kainama)

Na masai kavuliwa shuka (Kainama)
Geri na umbea wa Insta (Kainama)
Chipsi shingo ka sizi kuvuta (Kainama)
Nitembeze nitembeza (Kainama)

Playlists relacionadas Ver mais playlists

Momentos

O melhor de 3 artistas combinados