Haayaa haaaya!
Haayaa haya
Oooo, ooo!
Hayaaa! Hayaaa!
Haaaya haya
Yani mara kumi ungekua mbaya
Halafu ungekua na hela
Lakini tatizo lako mbaya
Halafu hauna hela
Ni mara kumi ungekua kijuso
Halafu ungekua na hela
Ila tatizo lako kijuso
Halafu hauna hela
A! Sa mbona unapata tabu kujichubua
Tako huna unafosi kujibinua
Baby wangu hajadata na chura ka hujajua
Kadata na mambo matamu nnayomgea
Nikwambie wewe
Ha! Kwa uzuri hujanzidi mimi
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Kwa uzuri hujanzidi mimi
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Na huyo baby wako alikuwa wa kwangu
Kabla ya kuwa wa kwako
Hauniambii kitu kuhusu yeye
Hata kulala alilala kwangu
Kabla kulala kwako
Kwahiyo unitishi mbwa wewe
Oya we
Hakuna ulichonizidi cha kunipa stress
We nyota yako ya kuni mie mwenzako ya gesi
Mwenzako uzuri wako natural sio wako wa kufeki
Mwana mwenzangu una rangi nyingi ka kombati ya jeshi
Sa mbona unapata tabu kujichubua
Tako huna unafosi kujibinua
Baby wangu hajadata na chura ka hujajua
Kadata na mambo matamu nnayomgea
Nikwambie wewe
Kwa uzuri hujanzidi mimi
Kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Ooh! Kwa uzuri hujanzidi mimi
Ai, udugu we kwa utamu hujanzidi shoga yangu
Haunitishi hunisumbui (hujanzidi mimi)
Jiangalie kuvaa hujui (hujanzidi mimi)
Aii! Hapo kwanza ncheke ha!
Wanangu baado sijasikia shangwe
Kama umeme umerudi (huo)
Masela baado sijasikia shangwe
Kama umeme umerudi (huo)
Ai! Mara tena umekata (aaaa)
Mama, mara tena umerudi (huo)
Wewe mara tena umekata (ah)
Twende show me gidi gidi, gidi!
Baby gidi gidi, gidi!
Twende gidi gidi gidi, gidi wee
Gidii gidiii, gidi!
Kwanza muone amepandwa na ibilisi
Alikaa pembeni, hivi sasa ameingia kati
Ona mwili mkubwa kumbe kibonge mwepesi
Kulia kushoto dunda kama kitenesi
Twende sasa gidi gidi, gidi!
Baby gidi gidi, gidi!
Twende gidi gidi gidi, gidi!
Gidii gidiii, gidi!
Hapo kwanza ncheke
Ha-ha!
Oya we
We hili goma noma kwani amelipiga nani
Mana wanafanya wanangu kama wamepandwa shetani
We hili goma noma kwani amelipiga nani
Maana wanavua mashati kwenye miti wanachuma majani
Oya wanachuma majani
Wanaleta majani
Mama wanachuma majani
Wanaleta majani, oya!
Diblo nipe
Nipe tena
Diblo nipe
Nipe tena