Eeeh eeh, wangela wanaingia (Le général Dangote) Ooh, ooh, wenye mji wamevamia (Le grand?) Eeeh eeh, wangela wanaingia (Mama Dangote) Ooh, ooh, wenye mji wamevamia (Le grand?)
Ona mpaka leo, oh majibu sipati Yaani mpaka leo nabaki katikati Rafiki rafiki Rafiki wa kweli ni nani Rafiki rafiki Ni ndugu ama jirani
Umeparty naye kwa starehe Wakulia nawe msibani Wakukosa akuongezee Ama yule wa nipe nami
Mwenzenu nimekosa Rafiki yangu pesa Rafiki yangu pesa Rafiki yangu pesa Rafiki yangu pesa
Asa chi achi (achii) Chibu Dangote (achii) Yama chi achii (achii) Dachidi benzi (achii) Asa chi achi (achii) Achibua geto (achii) Akuombe chii ni chi (achii) Chipolopolo asa chii
Achi chi chi Achi chi chi (La présidente Mama Samia)
(La présidente Mama Samia) Ey, achike chike achiki Achike chike achiki Achike chike achiki Achike chike achiki
This is obao Dabolo kings Dansi bito, dansibide Dansi sukari Tobina Dansimbakamu Dansibideda dansibi
Zindebakune zinda Zindebakune zinda Usepeta zinda Usepeta zinda Zinda bagolo zinda Osepenza zinda Mama Lia bangondo Lia Lia bangondo Lia Mama Lia bangondo Lia Lia bangondo Lia