Hazikukai maskara Wala make up zinakushuka Uso umekuparara Mwili shock up, zimetenguka Uso sauti ya stara Kwa kudeka unawehuka Jibwa koko la Mbagala Unabweka na kubwetuka wala
Na hizo post mara kubebana Mara eti mnabusu mtamaliza bando Unaowatuma kunitukana Siogopi mashushu me wala michambo
Kutwa kwa mapage feki Kama lokole linahusu? Mkwe akutaki eti Mwenzangu pole mbona kuntu
Vimeseji kujitumisha Kwa ndugu zangu marufuku Nyota imekufubika Usifosi umaarufu
Upepo wa kisulisuli Unakuchukuwa na nuksali Tanga lipulipuli Wanakununua kwa mizani Kwangu mpambe shughuli Najiashua burudani Na toto nzuri nzuri Nimelitua tuli ndani ii
Ona umekosa nuru Umekosa bahati huna Unaitwa kunguru Ukifika wananuna Ndo ndo ndo mwana chururu Asiye mbuzi wataka chuna Mengine nisikufuru Usiye wa shaba wala chuma