(Woo, woiyo ooh woiyo ooh)
It's Platnumz, Zombie
(Woo, woiyo ooh woiyo ooh)
Its s2kizzy beiby
Ati kanyaga ka Ana pigo za unafiki
Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki
Kanyaga kama fisi Ana roho ya usnichi
Hakulishi, hakuvishi kwani vipi?
Kanyaga
Wazee wa shombo kudandia, kanyaga
Klabu kuomba omba bia, kanyaga
Slay queens vitisho vya bandia
Ukivipa hai ati madai vinavimbia
Kanyaga
Uzushi, kanyaga
Mashemu feki, kanyaga
Nuksi, kanyaga
Kudadadeki, kanyaga
Mawifi, kanyaga
Mpaka ma ex, kanyaga
Mikosi, kanyaga
Wooya kanyaga
Kanyaga, kanyaga
Kanyaga, kanyaga
Kanyaga, kanyaga
Kanyaga, kanyaga
Yii, kanyaga, kanyaga
Kama unanicheza zangu
Kanyaga, kanyaga
Wale wakuda wadaku
Kanyaga, kanyaga
Yeah, kidaku daku
Kanyaga, kanyaga
Wajue hizi namba chafu
Woo, woiyo ooh woiyo ooh
Woo, woiyo ooh woiyo ooh
Ooh, yeah eeh
Siku hizi watu wanataka money
So nikimuita aku kosti, kanyaga
Kunitumia mipicha pigo gani?
Ati basi day nikuposti (oh, yeah, yeah)
Kadi za harusi kuchanga changa, kanyaga
Wakati mwenyewe nina majanga, kanyaga
Sina godoro sina kitanda
Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii)
Kama buti la mugambo, kanyaga
Wavuruga mipango, kanyaga
Wazee wa insta michambo
Ati 'baby niunge bando'
Kanyaga
Uzushi, kanyaga
Mashemu feki, kanyaga
Nuksi, kanyaga
Kudadadeki, kanyaga
Mawifi, kanyaga
Mpaka ma ex, kanyaga
Mikosi, kanyaga
Wooya kanyaga
Kanyaga, kanyaga
Kanyaga, kanyaga
Kanyaga, kanyaga
Kanyaga, kanyaga
Yii, kanyaga, kanyaga
Kama unanicheza zangu
Kanyaga, kanyaga
Wale wakuda wadaku
Kanyaga, kanyaga
Yeah, kidaku daku
Kanyaga, kanyaga
Wajue hizi namba chafu
I say leeoo
Usiku hatulali, tunakesha kama popo
Leo, leo
Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako
Asa timba, timba timba (timbaa)
Wanangu timba (timbaa)
Wao kula kushoto (timbaa)
Kula kulia (timbaa)
I say timba, timba timba (timbaa)
Oyaa wahuni timba (timbaa)
Kama unazikili (timbaa)
Mchaka kabisa akili (timbaa)
Kimya