S2 Keys, baby!
Wimbo
Wimbo huu
Ajejeje
Mnh eh
Joto lije ntakupepea
Ntakutunza ntakutetea
Wanune wavimbe, I don't care
Hawajui unachonipea
Mpaka napagawa
Na sio mambo ya dawa
We ni mtamu mwaya
Na haunaga show mbaya
Ukinigusa tu nalegea
Mwili wote teketeke
Yani siwezi ata kutembea
Kama mtoto tete tete
(Ayayayaya)
Na nyuma ni muganda (huyu mwana)
Shepu ya kitanga (huyu mwana)
Ngozi ya kirundi ooh (huyu mwana)
Sura ya kinyarwanda (huyu mwana)
Na nywele ya kisomali (huyu mwana)
Macho ya Ethiopia (huyu mwana)
Utamu Tanzania ooh (huyu mwana)
Akili ni ya kenya
Yule anaepinga asimame
Anaepinga asimame
Sema ukweli wako
Nyie haka (katam tam katam)
Kababy kangu jama (katam tam katam)
Kashunushunu bwana (katam tam katam)
Ooh mzuri wewe (katam tam katam)
Umeumbika mwaya (katam tam katam)
Aii yoo yooh (katam tam katam)
Kisura chake (katam tam katam)
Ona umbo (katam!)
I know the bar was so low
Lakini umenivumilia
Mahaba nayasikia mama
Nakupa mia kwa mia
Baby you don't know
Vile umenishikilia
Uka ni kinga wa dunia mama
Sijui nikupe nini dear
Nafufua wahenga
Watunge nyimbo tamu na mashairi
Mtu asije tenga
Ishaandikwa duniani na mbinguni
Mchuzi we ndo flavour
Imebidi niite mondi aje tujadili
Nikatuma mshenga
Hadi kwenu East Africa mashariki tete (ayayayaya)
Na nyuma ni muganda (huyu mwana)
Shepu ya kitanga (huyu mwana)
Ngozi ya kirundi ooh (huyu mwana)
Sura ya kigali yeeh (huyu mwana)
Na nywele ya kisomali (huyu mwana)
Na macho ya habesha (huyu mwana)
Forehead ni ta kenya (huyu mwana)
Tabasamu la juba
Yule anaepinga asimame
Anaepinga asimame
Sema ukweli wako
Nyie haka (katam tam katam)
Kababy kangu jama (katam tam katam)
Kashunushunu bwana (katam tam katam)
Ooh mzuri wewe (katam tam katam)
Umeumbika mwaya (katam tam katam)
Aii yoo yooh (katam tam katam)
Kisura chake (katam tam katam)
Ona umbo (katam tam katam)
Sa twende popopo adigidigi
Asuke rasta ama avae wigi
Jamani popopo adigidigi
Utaitaka tu kujigijigi
Jamani popopo adigidigi
Asuke rasta ama avae wigi
Nasema popopo adigidigi
Utaitaka tu kujigijigi
Let's make a toast to my baby
East African lady
Let's make a toast to my baby
My African lady
Let's make a toast to my baby ooh
My Asian baby aah
Let's make a toast to my baby ooh
My European baby aah
Aje jeje
Mnh mnh mnh