Usinione nalia, moyoni naumia Kila siku maugomvi, unanukia mabia Ina maana unataka useme umuhimu wangu hautambui Thamani ya mapenzi ndo imegeuka kuwa adui
Nikakuimbia nyimbo bado Nikakupa moyo bado Nikakupa life na true love ila baby bado Nimekuimbia nyimbo bado Nikakupa moyo bado Nikakupa life na true love ila baby bado
Nishachoshwa na haya mapenzi Visa mara mia kwa mwezi Mara leo limekwisha hili Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine Choshwa na haya mapenzi Visa mara mia kwa mwezi Leo limekwisha hili, kesho lingine You just don’t know naumia umia umia umia umia You don’t know naumia umia umia umia umia