Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki
Yalinifanya nikaugua Mara napanga napangua Mwili ukakonda nikapungua Ah sikulala, sikulala Oh maradhi nikaugua oh Yakanichoma na kuungua roho Kutwa nawaza na kuwazua Sikulala
Hayo mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana, nikatukanwa Lakini akanipiga teke Ai haya mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nkagombana, usiku mchana Yeye
Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki
Oh nilishagombana na mama mzazi Akataka nimwagia radhi Sababu yule fulani, yule wa moyo wangu Yakaleta zengwe kwa kazi Ugomvi wa simba na panzi Vurugu kwa majirani Ah, ee Mola wangu