Cha ah
Nimpende nani?
Nimpende eeh
Nimpende nani?
Nimpende aah
Nimpende nani?
Nimpende eeh
Nimpende nani?
Nimpende aah
Tai
We nilikuwaga na mupenzi akanizingua
Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
Isije siku miezi, naye akanisumbua
Ikawa tena kitenzi, mzigo kutua
Naogopa sana vichanga wa sasa
Kwenye mapenzi wasije wakanitenda
Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli
Wakanicha wakaenda
We si unajua
Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpate
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Nimpende nani?
Cha ah
Nimpende nani?
Nimpende eeh
Nimpende nani?
Nimpende aah
Nimpende nani?
Nimpende eeh
Nimpende nani?
Nimpende aah
Yasiwe kama ya Wema Sepetu
Kila siku magazeti
Ajue nidhamu na mila ya kwetu
Mjuzi kupeti-peti
Usimtake ka 'Uwoya nimteme Ana hasira
Mpola kama Jokate
Ila sauti ka' Wema akiwa analia
Kicheko kama cha fetty
Naogopa sana vichanga wa sasa
Kwenye mapenzi wasije wakanitenda
Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli
Wakanicha wakaenda
We si unajua
Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpate
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Nimpende nani?
Cha ah
Nimpende nani?
Nimpende eeh (eh, eh, eh)
Nimpende nani?
Nimpende aah (oh nimpende nani?)
Nimpende nani? (Mama ma)
Nimpende eeh (eh, eh, eh)
Nimpende nani?
Nimpende aah (mi nimpende nani?)
We nilikuwaga na mupenzi akanizingua
Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
We nilikuwaga na mupenzi akanizingua
Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua