Ah! Eti nikuite hodari Ukileta kipepeo nikupepee Stimu zinawaza kwenda mbali Na mimi nikate koba nitembee Maisha yangu sadari Kutwa kukimbizana na wazee Sometimes kabari gizani
Ah, kona nishakuwacha Lacoste Ah, ninapochana sijivungi ma Unataka B-day nikusposti Kaacha tochi nyuma, kifungi mama