Ya badman
Mopao na simba laa ma
S2kizzzy babee
Aiiyioo eeh
Koma kunichokonoa
Kunifatafata kuna
Muda vinaboa
Mhh mhh
Aku! Utanitia doa
Niliyenae moyo wake tishu utalowa
Mhhm
Najua nakuudhi
Huyu wa sasa amekuzid maujuzi mhhmh
So usilete attitude kunibishana
Bishana am not in the mood eehyi
Niko salama salama
Sijui ww huko
Huku napewa nyama nyama
Kwa nyama cjui ww huko wuu
Niko salama salama
Sijui wew huko wuu
Huku inabana banabanana cjui ww huko
Onaa usiniulize hali niko very good
Nimeglow sanaa pochi limenona
Aah aih mwenzako mm niko very gud
Nimeglow sanaa hehee pochi limenona eeh
Alhamdulillah angeniuwa
Yule maana mtu si mtu jini si msukule
Hiv mapenzi gani kuoigana kama shule
Mie nampa huku ya anayatoa kule
Ooh nuru hii ningeitoa wapi
Kufumania kila siku kushikana mashati
Ooh nuru hii ningeitoa wapi
Kutukaniwa mpaka ndugu ndo mapenzi ya wapi
Na simu zako usiku wa manane unikome
Kunitumia meseji plz naomba unikome
Wewe si jeuri haya move on tukuone
Na mbichwa wako uso fadhila heshima hata tone
Najwa najua nakuudhi huyu wa sasa amekuzidi maujuzi
Eeh najua so usilete attitude kubishana
Bishana am not in the mood aaihy! Mwnzko
Niko salama salama sijui wewe huko
Ooh kazi kwako kigagula mi
Huku napewa nyama nyama kwa nyama cjui ww huko
Niko salama salama sijui ww
Huko huku inabana bana banana sijui ww huko
Ex usiniulize swali niko very gud
Nime glow sanaa mhh pochi limenona
Mwenzako mm niko very gud
Nimeglow sanaa ooh pochi limenona