Agaah Ati niende kwa mganga Ntoe doti za kanga Ama nikufunge kamba Ntadanganya mie eeh Aah Nyumbani nifuge mamba Mara mlinzi kwa panga Kuchunga usije danga Uwongo nisikwambie
Hum Moyo wangu usiufanye njia ooh Ukapita ooh nitaumia Shamba langu wakanivunia ooh Yote tisa ukanibeza na kukimbia Tena unga ujengezi Usitishe na sanaa Ukaninyima malezi Nikakosa hata raha, ah Nikaanza kuvunja nazi Kutwa kuchwa kafara aah Nililie kipenzi, nakukunda oh karaha
Oh sijaona Sijaona Sijaona kama wewe Hhhmm juwa mimi Sijaona (sijaona mimi) Sijaona (sijaona bado) Sijaona kama wewe
Hhhmm aah Refa kapiga kipenga Ronaldo punguza chenga Kuku tulia kwa tenga Mbwembwe tupa kule Aah Na upunguze kujiremba Wasije wakakupenda Kuna warabu wapemba Ukanisusa bure
Nisiwe napata tabu Chemsha mawe kumaliza kuni eeh Kumbe kung'ah dhahabu Kuichoma sio sabuni Nishajipaga moyo Wewe ndio mwisho wa reli Basi jifunze choyo Wasije nikejeli Uwezo wangu wa toyo mie Sijafikia meli Acha wacheze loyal Sie kwetu singeli
Ooh, moyo wangu usiufanye njia oh Ukapita sana nitaumia Shamba langu wakanivunia oh Kesho wakaja kukuteka na matusi kunitupia Juwa mwenzako mimi