Oh maneno maneno, tumeyazoea Vijineno neno, tushazoea Wapenzi wangu ku-party Kwani ninawahusu Shepu yake mbaya, hivi inawahusu Udangaji umalaya, wao inawahusu nini Wamegusa pabaya na mwaka huu Lazima wachuchumae
Wameingia cha kike (eh waah) Cha kike Wameingia cha kike Cha cha cha kike (twale) Wameingia cha kike (kwa penzi letu) Cha kike (lazima watuchomai) Wameingia cha kike (kwa penzi letu) Cha cha cha kike
Aah Bakokote, Babu Tale Don Mendez, Ba Juni eti Ba Juni
Chumbani Hennessy Hunipatia panadol Kuchenga za Messi Na mashuti ya Ronaldo
Yaani ndani nikiingia tu (Anachukua anaweka Waah) Ah, kwenye gari (Anachukua anaweka Waah) Iwe jikoni ama varandani (Anachukua anaweka Waah) Doze doze, doze doze (Anachukua anaweka Waah)
Yaani baadae salama joto Toa leso nipepepee Oya kombo joto Toa leso nipepepee