Viumbe vyote vya mungu wetu 
 Na mfalme wetu 
 Viumbe vyote vya mungu wetu 
 Na mfalme wetu 
    Paseni sauti ili nasi Mwimbe 
 Paseni sauti ili nasi Mwimbe   
 Watu wote 
 Viumbe vyote 
 Awaye yote 
 Sifu mungu   
 Watu wote 
 Viumbe vyote 
 Awaye yote 
 Sifu mungu   
 Toda criatura de el rey (O sifuni mungu) 
 Alzen su voz y canten ya (O sifuni mungu) 
 En medio del que manden hoy (imbeni, imbeni) 
 Poder, la gloria, el resplandor (paseni, sauti, imbeni)   
 Viumbe vyote vya mungu wetu 
 Na mfalme wetu 
 Viumbe vyote vya mungu wetu 
 Na mfalme wetu 
 Paseni sauti ili nasi Mwimbe 
 Paseni sauti ili nasi Mwimbe   
 Hombres (Watu wote) 
 Criaturas (Viumbe vyote) 
 Todos Juntos (Awaye yote) 
 Gloria a Dios (Sifu mungu) 
 Hombres (Watu wote) 
 Criaturas (Viumbe vyote) 
 Todos Juntos (Awaye yote) 
 Gloria a Dios (Sifu mungu)   
 Y el agua aclara en su correr 
 Es musica al Señor y Dios 
 Y el fuego con su brillantez (imbeni, imbeni) 
 Al hombre resplandor y luz (imbeni)   
 Viumbe vyote vya mungu wetu 
 Na mfalme wetu 
 Viumbe vyote vya mungu wetu 
 Na mfalme wetu 
 Pazeni sauti ili nasi Mwimbe 
 Pazeni sauti ili nasi Mwmbe   
 Que Dios bendiga su creacion (O sifuni mungu) 
 Alabemosle con humildad (O sifuni mungu) 
 Oh Gloria al Padre, Gloria al Hijo (imbeni, imbeni) 
 Y Gloria al Espitiru (paseni, sauti, imbeni)   
 Viumbe vyote vya mungu wetu 
 Na mfalme wetu 
 Viumbe vyote vya mungu wetu 
 Na mfalme wetu 
 Pazeni sauti ili nasi Mwimbe 
 Pazeni sauti ili nasi Mwmbe   
 Hombres (Watu wote) 
 Criaturas (Viumbe vyote) 
 Todos Juntos (Awaye yote) 
 Gloria a Dios (Sifu mungu) 
 Hombres (Watu wote) 
 Criaturas (Viumbe vyote) 
 Todos Juntos (Awaye yote) 
 Gloria a Dios (Sifu mungu)   
 O sifuni mungu (imbeni) 
 O sifuni mungu (imbeni) 
 O sifuni mungu (imbeni) 
 Tusifu mungu, 
 Tusifu mungu, 
 Tusifu mungu, 
 Tusifu mungu, 
 Paseni sauti na wote imbeni 
 O sifuni mungu!