Shambulia! Beba silaha Pigana mpaka mwishowe Kwa nchi yetu tutaunguza damu yoyote Rudi kwa pambaja ya dunia
Hadithi yaendelea (kama moto) Heshima warithi vizazi (waka daima) Ushujaa waangaza mbingu na ardhi Mara tena ashinda Natlan Milele tuwangoje, na tutawaimbia (Rudini) ndugu, (rudini) mashujaa Mara ya tena mwangani
Ati kweli mwahofuni kifo? (Hapana) Ushujaa wenu ni imara (bila shaka) (Kumbukeni majina ya mashujaa) (Andameni uwanjani)
Kwa jamaa (zuri, safi) nchi (sawa) na taifa Kwa (vuma) matumaini (raha) mbeleni (nguvu) malengo (Rudini tunawangojeni)
Nyimbo kelele sana Sikiliza zitakuongoza nyumbani
Hadithi yaendelea (ahh, ahh) Heshima warithi vizazi Ushujaa waangaza mbingu na ardhi Mara tena ashinda Natlan Milele tuwangoje, na tutawaimbia Rudini (ndugu) rudini (mashujaa) Mara ya tena mwangani