Nyama zetu za ulimi Zikikutana asali Bonyea chini Chagama kama tayari Leo tule nini Mihogo ya coco kwa kachumbari Si unanjuaga mimi Kitandani huwa hodari Kama umeniroga (aaaah eeh) Mganga wako fundi mama Ameniweza (nilichomeza me sijatema) Chumvi kwa kikogwa Wali maini ndizi nyama Umenilegeza (ukinigusa tuu natetema)
Nikishuka kifuani baby Naomba nipate supu Ya nyama laini kama mapupu Yale ya gizani baby Nje tusiyaruhusu Kwa majirani Wambea wakina lufufu
Asubuhi niamshe Kabla ya kwenda kazini jogging Kijasho kitoke Ukihisi nachoka piga firimbi Ooh unikamate Kama nayumba shika ngingingi Wachefukwe mate Maembe mabichi uwape mbilimbi Utamu wangu mimi Waujua wewe Penzi tubane na pini Iwe siri yetu wenyewe Muhindi wa kusini Mwenye mapenzi tele Kibiti hakuna madini Tukawinde tetele
Nikishuka kifuani baby Naomba nipate supu Ya nyama laini kama mapupu Yale ya gizani baby Nje tusiyaruhusu Kwa majirani Wambea wakina lufufu