Mwenyewe anaona sawa Ila mwambie mimi ananiumiza sana Ni zaidi ya kupagawa Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa
Na ajue bado nipo Ila hali yangu hohehahe Sina mabadiliko Machozi mafuriko Fundi wa jiko langu kaacha mawe Mpaka akalamba mwiko
Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi
Mwili watepeteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mbavu dabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika Mwili watepeteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mbavu dabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika
Bado ndo ndo ndo chururu Nikijaza haikai kibaba Na misongosongo msururu Sita haikai saba Mimi kitorondo ye kunguru Mbao zangu hazimpi msaada Makombe nishaoga dawa ka susuru Huenda nikasahu labda Kitandani mito ipo miwili Ubavu wewe ubavu mimi Pakata ndiko imewekwa shubiri Nalikwepa nalala chini Nimefuta picha tulizopiga chumbani Ila bado zanisuta suta zimebaki kichwani Silali nastuka stuka unaniita gizani Chozi lalowesha shuka na sina wa kunifuta nani