Chuchumaa kama vile unafua Mama unapika basi nije kupakua Chuchumaa kwenye choo cha mabua Ila chunga mchanga usiingie kitumbua
Chuchumaa, kisha ulegeze nyonga hiyo Chuchumaa unitoneshe kidonda hiyo Chuchumaa, ona nyoka anaconda hiyo Chuchumaa ufanye mlima ufanye mlima kitonga hiyo
Ai katoto, motomoto Moto moto, moto moto Ai baikoko, moto moto Joto joto, moto moto
Kamata ukuta Shuka mpaka chini take it down zungusha Kamata nakupa Nikishika nyundo nipasue kichupa
Oweoo weoo Kina dada mko wapi? Oweoo weoo Basi muingie kati