'Hatua zimeshaanza kuchukuliwa Ameshatoa tahadhari mbalimbali Ambazo tunatakiwa kuzichukua Napenda nirudie ndugu zangu Watanzania Kwamba ni vizuri sana tukaendelea kuchukua tahadhari, kwa nguvu zote Ugonjwa huu unaua, na unaua kwa haraka sana Niwaombe ndugu zangu Watanzania Tusipuuze ungonjwa huu Tusipuuze hata kidogo Ni lazima tuanze kuchukua hatua Za kujikinga kwa tatizo hili