Oya wind your waist, njoo nipatie Commando Nikupe cha mkwesi, kwa miuno ya taekwondo Asa chekele Mwendo wa kandanda, ndani ya makwanda Sa nisongeze Leta msambwanda, nikazie ngangangaa (chii) Kananivuta ghetto Nkapinge bunduki (high bunduki) Ile naogopa central Michezo ya Amber Rutty (amber Rutty)
Yaani kama mjaluo, shepu ya Mombasa Hapendagi mpasuo, hata akishinda basata Tepe tepe mtoto kama supu teke teke (kongoro) Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke (ndombolo) Shaku shaku ya masai (ooh masai) Kama kama nachuma papai (ooh papai) Funika funua (twendee) Bandika bandua (twendee) Anika anua (twendee) Kanipa chukua (twendee)