1. 1

    Sauti Sol - Melanin

  2. 2

    Sauti Sol - Kuliko Jana

  3. 3

    Sauti Sol - Nerea

  4. 4

    Sauti Sol - Suzanna

  5. 5

    Sauti Sol - Isabella

  6. 6

    Sauti Sol - Midnight Train

  7. 7

    Sauti Sol - Sura Yako

  8. 8

    Sauti Sol - Afrikan Star (feat. Burna Boy)

  9. 9

    Sauti Sol - Brighter Days (feat. Soweto Gospel Choir)

  10. 10

    Sauti Sol - Coming Home

  11. 11

    Sauti Sol - Disco Matanga (Yambakhana) (feat. Sho Madjozi & Black Motion)

  12. 12

    Sauti Sol - Dollar Dollar

  13. 13

    Sauti Sol - Extravaganza (feat. Bensoul, Nviiri The Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini)

  14. 14

    Sauti Sol - Feel My Love

  15. 15

    Sauti Sol - Girl Next Door (feat. Tiwa Savage)

  16. 16

    Sauti Sol - Insecure

  17. 17

    Sauti Sol - Intro

  18. 18

    Sauti Sol - It's Okay

  19. 19

    Sauti Sol - Kamasutra (Vanessa Mdee)

  20. 20

    Sauti Sol - Kiss Me

  21. 21

    Sauti Sol - Live and Die in Afrika

  22. 22

    Sauti Sol - Mbozi za Malwa

  23. 23

    Sauti Sol - Money Lover

  24. 24

    Sauti Sol - My everything (feat. India.Arie)

  25. 25

    Sauti Sol - Nenda Lote

  26. 26

    Sauti Sol - Nipe Nikupe

  27. 27

    Sauti Sol - Nishike

  28. 28

    Sauti Sol - Relax

  29. 29

    Sauti Sol - Rewind (feat. Khaligraph Jones)

  30. 30

    Sauti Sol - Rhumba Japani (feat. Kaskazini, Bensoul, Nviiri The Storyteller, Xenia, Okello Max & Nairobi Horns)

  31. 31

    Sauti Sol - Sambo Party

  32. 32

    Sauti Sol - Say Yeah

  33. 33

    Sauti Sol - Set Me Free (Interlude)

  34. 34

    Sauti Sol - Shake Yo Bam Bam

  35. 35

    Sauti Sol - Short N Sweet (feat. Nyashinski)

  36. 36

    Sauti Sol - Sober

  37. 37

    Sauti Sol - Still The One

  38. 38

    Sauti Sol - Sura Yako (remix) (feat. Iyanya)

  39. 39

    Sauti Sol - Tujiangalie (feat. Nyashinski)

  40. 40

    Sauti Sol - Tulale Fofofo (feat. Mi Casa)

  41. 41

    Sauti Sol - Ukiwa Mbali (feat. Nviiri The Storyteller)

  42. 42

    Sauti Sol - Wake Up (feat. Mortimer)

Rhumba Japani (feat. Kaskazini, Bensoul, Nviiri The Storyteller, Xenia, Okello Max & Nairobi Horns)

Sauti Sol

Kuna Rhumba ya Juja
Na ni ya maboy
Ukisaka mitumba
Enda Rhumba ya Toi
Kuna Rhumba ya Kibich
Utajua hujui
Kuna Rhumba for all you niggas
Ila Rhumba Japani ndio Rhumba

Kuna Rhumba ya state house, iko chini ya maji
Kuna Rhumba ya bunge ya majambazi
Ukileta ujinga, utalala ndani
Kuna Rhumba for all you niggas
Lakini Rhumba Japani ndio Rhumba

Hapa ni wapi
Tumezungukwa na shisha na shashamani
Mapochopocho na vinywaji mbali mbali
Wengine wanatapika wakizirai

Hapa ni wapi
Wanatutwanga mapicha kipaparazi
Tumezungukwa na warembo geti kali
Tunazitoka na style za kizamani

Kuna Rhumba ya Westy
Ya mabeshte
Ya mashinani
Sheki your waistii
Rhumba ni nyepesi
Isikue kesi
Kuna Rhumba for all my niggas
Ila Rhumba Japani ndio rhumba

Kuna Rhumba Karura
Ya kupanda miti
Ukiwa Koinange
Hakunaga risiti
Rhumba Oyole
Hio no ya mangwai
All of my hoes and all of my niggas
Rhumba Japani ndio Rhumba

Hapa ni wapi
Tumezungukwa na mabouncer kama chuani
Kuna mapedi mapoko pia mapinji
Na wanaseti michele kwenye vinywaji

Hapa ni wapi
Kuna visanga vioja mahakamani
Wapenzi wapigana mate hadharani
Wengine wanatekana nyuma ya taxi

Niitie Rhumba obunga
Mano mar jothurwa
Tokidwa bilo mbuta
Iriyo manyatta
Yawuoi orwaka akala
To nyiwa ondiso avunja
Kuna Rhumba for all your niggas
Lakini Rhumba Japani ndio Rhumba
Aaaaaaah Sol Generation you know
Hii shit imeniweka zone, inatamba

Hapa ni wapi
Waheshimiwa wako nje kwa foleni
Na raia wako ndani wajivinjari
Wanazitoka na style ni za kiodi

Hapa ni wapi
Mawochi wote wameleta utiaji
Wakafungia wakubwa nje ya party
Wakawachia ofisi wafanyikazi

Playlists relacionadas Ver mais playlists

Momentos

O melhor de 3 artistas combinados