1. 1

    Zuchu - WaleWale (feat. Diamond Platnumz)

  2. 2

    Zuchu - Kwikwi

  3. 3

    Zuchu - Sukari

  4. 4

    Zuchu - Utaniua

  5. 5

    Zuchu - Chapati

  6. 6

    Zuchu - Love (feat. Adekunle Gold)

  7. 7

    Zuchu - Antenna

  8. 8

    Zuchu - Cheche (feat. Diamond Platnumz)

  9. 9

    Zuchu - Hakuna Kulala

  10. 10

    Zuchu - Honey

  11. 11

    Zuchu - Litawachoma (feat. Diamond Platnumz)

  12. 12

    Zuchu - Mauzauza (feat. Khadija Kopa)

  13. 13

    Zuchu - Nisamehe

  14. 14

    Zuchu - Nyumba Ndogo

  15. 15

    Zuchu - Ashua (feat. Mbosso)

  16. 16

    Zuchu - Attention (feat. Whozu)

  17. 17

    Zuchu - BamBam (feat. D Voice)

  18. 18

    Zuchu - For Your Love (feat. Mbosso)

  19. 19

    Zuchu - Hasara

  20. 20

    Zuchu - I Miss You (feat. Rayvanny)

  21. 21

    Zuchu - Jaro

  22. 22

    Zuchu - Kwaru

  23. 23

    Zuchu - Mtasubiri (feat. Diamond Platnumz)

  24. 24

    Zuchu - Nani

  25. 25

    Zuchu - Nani (feat. D Voice)

  26. 26

    Zuchu - Nani (remix) (feat. Innoss'B)

  27. 27

    Zuchu - Napambana

  28. 28

    Zuchu - Naringa

  29. 29

    Zuchu - Nimezama (feat. D Voice)

  30. 30

    Zuchu - Nobody (feat. Joeboy)

  31. 31

    Zuchu - Number One (feat. Rayvanny)

  32. 32

    Zuchu - Quarantine (feat. WCB Wasafi, Queen Darleen, Lava Lava, Mbosso, Rayvanny & Diamond Platnumz)

  33. 33

    Zuchu - Raha

  34. 34

    Zuchu - Shika

  35. 35

    Zuchu - Tanzania Ya Sasa

  36. 36

    Zuchu - Wana

  37. 37

    Zuchu - Yalaaaa

  38. 38

    Zuchu - Zawadi (feat. Dadiposlim)

Hasara

Zuchu

Haah haah mhh
Mr lg
Mhh mhh
Haah

Mi staki tuongee
Moyoni nna machungu machungu
Nsije tenda dhambi mhh
Ila chozi la mnyonge
Malipo ni kwa mungu kwa mungu
Bora nihame kambi
Mmhh mhh
Kama subira ina mwisho
Ina mwisho wake manaa
Asali umeimaliza mzinga
Ukanifanya tahira
Suluhisho nimeona kwako hamnaa
Moyo wangu si wa mninga najitoa
Tunagombana kwa vitu vidogo
Kosa si kosa unageuka mbogo
Huna dogo wewe
Hunipendi unang’ong’a kisogo
Punda siendi eti bila magongo
Mpenda zogo wewe

Kukupenda tenaa sitakii
Nimekomaaah sitakii
Kukuonaa sitakii
Mhhh
Narudia tena sitakii
Kukuonaa sitakii
Nimekoma sitakii

Bora nihesabu kua penzi nimepata
Hasara haa ooh hasara!
Hasara haa
Hasara hasara
Hasara roo penzi limekwenda zake
Hasara haa (hasaranii)
Hasara haa (hasarani)
Hasaraa hasaraa

Kina cha mmaji matitu
Ukaniacha bila boya nijifie
Kosa langu nini
Mchana nauona ka usiku
Nachacha nyie maumivu muyasikiee
Yasiwakutenii
Hih!
Na kama halbadirii ya mbayana umeniumbua
Umeniadhiri umeniacha mnyama na nguo uumenivua

Kukupenda tenaa sitakii
Nimekomaaah sitakii
Kukuonaa sitakii
Mhh
Narudia tena sitakii
Kukuonaa sitakii
Nimekoma sitakii
He
Bora nihesabu tu kama nimepata

Hasara haa (ooh hasaraa)
Hasaraa haa (hii hasaraa)
Hasara hasaraa
Hasara roo penzi limekwenda zake
Hasara haa (hasaranii)
Hasara haa (hasarani)
Hasaraa hasaraa

Kamix lizer
He ahh ahaa haha
Aah haa ha haha
Aah haha ha ha aah
Bora nibaki naliaa
Haa haha ha (he ah)
Haa hahaa (noo no noo no nono)
Mhh mhh

Playlists relacionadas Ver mais playlists

Momentos

O melhor de 3 artistas combinados