1. 1

    Zuchu - WaleWale (feat. Diamond Platnumz)

  2. 2

    Zuchu - Kwikwi

  3. 3

    Zuchu - Sukari

  4. 4

    Zuchu - Utaniua

  5. 5

    Zuchu - Chapati

  6. 6

    Zuchu - Love (feat. Adekunle Gold)

  7. 7

    Zuchu - Antenna

  8. 8

    Zuchu - Cheche (feat. Diamond Platnumz)

  9. 9

    Zuchu - Hakuna Kulala

  10. 10

    Zuchu - Honey

  11. 11

    Zuchu - Litawachoma (feat. Diamond Platnumz)

  12. 12

    Zuchu - Mauzauza (feat. Khadija Kopa)

  13. 13

    Zuchu - Nisamehe

  14. 14

    Zuchu - Nyumba Ndogo

  15. 15

    Zuchu - Ashua (feat. Mbosso)

  16. 16

    Zuchu - Attention (feat. Whozu)

  17. 17

    Zuchu - BamBam (feat. D Voice)

  18. 18

    Zuchu - For Your Love (feat. Mbosso)

  19. 19

    Zuchu - Hasara

  20. 20

    Zuchu - I Miss You (feat. Rayvanny)

  21. 21

    Zuchu - Jaro

  22. 22

    Zuchu - Kwaru

  23. 23

    Zuchu - Mtasubiri (feat. Diamond Platnumz)

  24. 24

    Zuchu - Nani

  25. 25

    Zuchu - Nani (feat. D Voice)

  26. 26

    Zuchu - Nani (remix) (feat. Innoss'B)

  27. 27

    Zuchu - Napambana

  28. 28

    Zuchu - Naringa

  29. 29

    Zuchu - Nimezama (feat. D Voice)

  30. 30

    Zuchu - Nobody (feat. Joeboy)

  31. 31

    Zuchu - Number One (feat. Rayvanny)

  32. 32

    Zuchu - Quarantine (feat. WCB Wasafi, Queen Darleen, Lava Lava, Mbosso, Rayvanny & Diamond Platnumz)

  33. 33

    Zuchu - Raha

  34. 34

    Zuchu - Shika

  35. 35

    Zuchu - Tanzania Ya Sasa

  36. 36

    Zuchu - Wana

  37. 37

    Zuchu - Yalaaaa

  38. 38

    Zuchu - Zawadi (feat. Dadiposlim)

Kwaru

Zuchu

Iyoo lizer
Aah ah aah

Ah
Roho ingekua na macho ungejionea
Moyo haufanyi kificho ukigotea
Mimi kipi nisonacho ungeongea
Mwili wangu rochorocho nanyong’onyea
Chungu nilichopika
Wamepakua wenzangu
Huruma napukutishwa
Wamechukua tonge langu
Na kitabu chetu cha mapenzi
Kurasa umeichanachana
Hazisomeki tena tenzi
Zimepoteza maana

Mpofu moyo wangu
Ulishindwa ona
Hukuandikwa wakwangu
Limenikaba nalitema

Kwaru kwakwaru kwaru
Kachukua kisoda Ana ukwangua
Kwaru kwakwaru kwaru
Moyo wangu unaumia
Kwaru kwakwaru kwaru
Ah! Ye kwa nguvu Ana ukwarua
Kwaru kwakwaru kwaru
Jamani moyo wangu
Unaumia

Eh
Langu tatizo
Nachunda najimaliza
Mi nakesha kumuwaza
Naweweseka lake jina (ooh jina)
Oh! Basi kwa unyonge
Najikaza niache kulia
Mana kwake bahati sina (ooh sina)
Maumivu ameipora furaha yangu
Ooh amekwenda nayo
Na zangu mbivu zimeniozea
Mmh hasara kwangu
Ooh oh! Yatajwisha nayoo

Mpofu moyo wangu
Ulishindwa ona
Hukuandikwa wakwangu
Limenikaba nalitema

Kwaru kwakwaru kwaru
Kachukua kisoda Ana ukwangua
Kwaru kwakwaru kwaru
Moyo wangu unaumia
Kwaru kwakwaru kwaru
Ah! Ye kwa nguvu Ana ukwarua
Kwaru kwakwaru kwaru
Jamani moyo wangu
Unaumia

Playlists relacionadas Ver mais playlists

Momentos

O melhor de 3 artistas combinados