Eeeeh kaja omba nirudia Kazirejesha salam Zamani kakumbukiaa Ameumisi utamu
Kaacha kopa kalamba garasa Kaishiwa masikini Mpeni taarifa za beti mkwasa Mi simkumbuki sini
Hee mwambieni mwanbieni (Mali yake ishaliwa) Aha apunguze kampeni (Jimbo lishachukuliwa) He he mwambieni mwambieni (Mali yake ishaliwa) Aha apunguze kampeni (Jimbo lishachukuliwa)
Alidhani ameniadhiri Alidhani amenikomoa Mungu akanipa msitirii Alonipoza nikapoa ah
Penzi kalijaza ndindindi Kanimwagia mwemwere mwemwere Pole ya kwako kidingi Wa kudandia Ngendere ngedere
Simu za usiku wa saa sita, aka staki Kuni dm insta, aka staki Kutwa kujicomentisha, aka staki Kujitumisha vipicha, aka staki
Hee mwambieni mwanbieni (Mali yake ishaliwa) Aha apunguze kampeni (Jimbo lishachukuliwa) He he mwambieni mwambieni (Mali yake ishaliwa) Aha apunguze kampeni (Jimbo lishachukuliwa)