1. 1

    Zuchu - WaleWale (feat. Diamond Platnumz)

  2. 2

    Zuchu - Kwikwi

  3. 3

    Zuchu - Sukari

  4. 4

    Zuchu - Utaniua

  5. 5

    Zuchu - Chapati

  6. 6

    Zuchu - Love (feat. Adekunle Gold)

  7. 7

    Zuchu - Antenna

  8. 8

    Zuchu - Cheche (feat. Diamond Platnumz)

  9. 9

    Zuchu - Hakuna Kulala

  10. 10

    Zuchu - Honey

  11. 11

    Zuchu - Litawachoma (feat. Diamond Platnumz)

  12. 12

    Zuchu - Mauzauza (feat. Khadija Kopa)

  13. 13

    Zuchu - Nisamehe

  14. 14

    Zuchu - Nyumba Ndogo

  15. 15

    Zuchu - Ashua (feat. Mbosso)

  16. 16

    Zuchu - Attention (feat. Whozu)

  17. 17

    Zuchu - BamBam (feat. D Voice)

  18. 18

    Zuchu - For Your Love (feat. Mbosso)

  19. 19

    Zuchu - Hasara

  20. 20

    Zuchu - I Miss You (feat. Rayvanny)

  21. 21

    Zuchu - Jaro

  22. 22

    Zuchu - Kwaru

  23. 23

    Zuchu - Mtasubiri (feat. Diamond Platnumz)

  24. 24

    Zuchu - Nani

  25. 25

    Zuchu - Nani (feat. D Voice)

  26. 26

    Zuchu - Nani (remix) (feat. Innoss'B)

  27. 27

    Zuchu - Napambana

  28. 28

    Zuchu - Naringa

  29. 29

    Zuchu - Nimezama (feat. D Voice)

  30. 30

    Zuchu - Nobody (feat. Joeboy)

  31. 31

    Zuchu - Number One (feat. Rayvanny)

  32. 32

    Zuchu - Quarantine (feat. WCB Wasafi, Queen Darleen, Lava Lava, Mbosso, Rayvanny & Diamond Platnumz)

  33. 33

    Zuchu - Raha

  34. 34

    Zuchu - Shika

  35. 35

    Zuchu - Tanzania Ya Sasa

  36. 36

    Zuchu - Wana

  37. 37

    Zuchu - Yalaaaa

  38. 38

    Zuchu - Zawadi (feat. Dadiposlim)

Nisamehe

Zuchu

Kukuhini kusiokwisha
Kumeangukia pemani
Roho yanidadarika
Kashantoka shetwani
Nimeumbiwa makosa
Mwanadamu na mimi
Moyo umekunja ndita
Nakumiss jamani

Ngumu safari
Nlifanya njiani ushukie eeh eh!
Ukakosa seat
Mmiliki gari lako mwenyewe eh!
Nikajiveka mashati
Nikajiona me ndo mie eeeh eh!
Kweli mbaya halisi
Na wema hakosi eeeh eh!

Nisamehe nisamehe
Nisamehe nisamehe

Eeh!
Chozi dibwidibwi
Nachanganyikiwa
Na vilio sishikiki
Niko magharibi
Lizamapo jua
Wewe upo mashariki
Zawadi vipochi
Vijuisi vipipi
Nazimiss chocolate
Nimekoma dear
Nilivyonyongea
Huba zako sizipati
Tabibu
Kunikomesha umepata
Toto la kitanga
Sababu
Umeichoka jeuri yangu
Ya kipemba
Lile gubu
Limeniisha kabisa
Baby hali nanga
Aibu
Wananicheka wajinga
Rudi nakuomba

Ngumu safari
Nlifanya njiani ushukie eeh eh!
Ukakosa seat
Mmiliki gari lako mwenyewe eeh eh!
Nikajiveka mashati
Nikajiona me ndo mie eeeh eh!
Kweli mbaya halisi
Na wema hakosi eeeh eh!

Nisamehe nisamehe
Nisamehe nisamehe

Eeh!
Nikikaa nawazaa
Nimuingie kwa style gani
Nimlilie
Niseme nna mimba
Kasahau tshirt nyumbaani
Nashindwa kujizuia
Uvumilivu unanishinda kwanini
Nikimpigia kusudi zake
Na akipokea
Eti haloo wewe nani?
Iih! Iih!
Na namba kakupa nani?
Mara oooh kumbe wewe
Unafanya issue gani?
Siku hizii ih!
Me msanii anajua
Ina maana hanioni?
Kwenye TV ih!
Aah! Aih wewe!
Aah! Aih wewe!

Playlists relacionadas Ver mais playlists

Momentos

O melhor de 3 artistas combinados