Hisia kama mikuki zanichoma Ndo maana kila time nakuwaza wewe Kwa mahaba nayopata nahisi mpaka homa Sichoki me kukesha nawe
Love more, love more Love more iyee
Wapambe waache waongee Usiku watalala Na waambie wenye wivu Maneno yasizidi mpaka
Mmh mapenzi mubashara Mapenzi mubashara Zidisha leo zaidi ya jana (Zidisha leo zaidi ya jana) Mapenzi mubashara Mapenzi mubashara Nikomeshe leo nisipate la kusema (La kusema aah)
Niroge kwa limbwata mpaka nipagawe Ila tu nisiokote makopo Zidisha kipimo unachokiona wewe Kwako me ni kama mtoto
Mama, toa jiko nje nipikee Aah nikimaliza vyombo nioshe Tena sogeza kichwa nywele nikusukee (beiby) Na tukimaliza twende bafu nikakuogeshee
Mmh mapenzi mubashara Mapenzi mubashara Zidisha leo zaidi ya jana (Zidisha leo zaidi ya jana) Mapenzi mubashara Mapenzi mubashara Nikomeshe leo nisipate la kusema (Nikomeshe leo nisipate la kusemala kusema aah)
Aah nipate la kusema, mimi iyee Nipate la kusema, beiby Na mapenzi mubashara (Nipate la kusema) Mapenzi mubashara (Nami nipate la kusema)